Jul 31, 2012

MSANII MAARUFU TANZANIA DIAMOND ALAZWA HOSPITAL



Hii ni picha ya Diamond akiwa hospitali baada ya kubanwa ghafla na kifua na hivyo kwenda kufanyiwa uchunguzi ili kujua tatizo. Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz ambaye ni mshikaji wake wa karibu tayari msanii huyo amesharuhusiwa lakini majibu ya vipimo vyake yatatoka kesho.
Miezi ya hivi karibuni Diamond amefululiza kufanya show katika mikoa mbalimbali bila kupata mapumziko ya kutosha na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu.
Kupitia Twitter Diamond ameandika "Dah hali yangu si nzuri, naumwaaa."

MISHAHARA BUNGENI YAONGEZEKA...

WABUNGE WAZIDI KUONGEZEWA MARUPURUPU,,,,,


MARUPURUPU ya wabunge ikiwamo mishahara imeongezwa kutoka Sh7.4 milioni kwa mwezi hadi takriban Sh11milioni kwa mwezi, hatua ambayo imeibua mjadala mwingine mzito miongoni mwao.

Tangu mwaka jana, wabunge wamekuwa katika vita ya kupokea au kutopokea posho ya vikao ambayo imekuwa ikikolezwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambaye alizikataa akisema mbunge anapokuwa kazini hahitaji kulipwa.

Hata hivyo, uchunguzi wa gazeti hili umebaini kwamba sasa vita kubwa ipo katika marupurupu mapya ambayo pamoja na kuchanganya na mshahara yanafikia Sh11milioni kwa mwezi.

Spika wa Bunge, Anne Makinda alipoulizwa jana alithibitisha kuhusu kuongezeka kwa malipo jumla ya wabunge kwa mwezi lakini akasema hafahamu kiwango halisi kilichoongezwa.

Makinda alisema nyongeza iliyopo siyo kwa wabunge tu, bali watumishi wote wa Serikali na ilitangazwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), wakati wa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka 2012/13.


USHAURI KWA WANAUME WOTE

Jitahidi kupata msichana wa kukuridhisha,,,

Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.

Jambo jingine hatari linalo mkabili mpiga Punyeto ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mwanamke faraghani.

Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama KIM KARDASHIAN kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa hasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.

Nitaendelea wiki ijayo.....

SWALI LA LEO????

NAHITAJI USHIRIKIANO WENU MAJIBU TUMA
thefashion.jail@gmail.com or lizcreation1@gmail.com

SWALI???
WHO DO YOU THINK IS TANZANIAN MOST FAMOUS CELEBRITY.....???

BAADA YA UZUSI KUWA AMEFARIKI,,,

DK. ULIMBOKA SI WA LEO WALA

Dk. Steven Ulimboka.

Hali ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, inaendelea vizuri lakini si wa kupona leo wala kesho, imeelezwa na vyanzo vyetu.
Dk.Ulimboka anayetibiwa Afrika Kusini, yupo chini ya uangalizi mkali wa madaktari katika hospitali aliyolazwa na wanafanya kazi kubwa kuhakikisha anapona.
Chanzo chetu kimetoa taarifa kuwa, Dk. Ulimboka anapata matibabu sahihi kwa sababu hospitali aliyolazwa ni ya uhakika.
Awali, kabla ya mazungumzo ya moja kwa moja kwenye simu, ripota wetu alimtumia SMS mtoa habari wetu kumuulizia maendeleo ya daktari huyo naye akajibu: “He’s recovering slowly.” (Anapona taratibu).
Alipomuuliza Watanzania wamtegemee lini daktari huyo kurudi nchini, alijibu: “Itachukua muda kupona. Muhimu kwa sasa ni Watanzania na wote wanaompenda, wamuombee kwa Mungu ili matibabu yaende sawa.”
VIPI USALAMA WAKE?
Chanzo chetu kilibainisha kuwa usalama wa Dk. Ulimboka ni wa uhakika, kwani watu wanaomlinda hospitalini hapo wapo makini.
“Nani asiyejua mazingira ya hatari aliyonayo Steven (Dk. Ulimboka)? Hii inasababisha maisha yake hospitalini yawe chini ya ulinzi mkali.
“Kwanza si kila mtu anaruhusiwa kwenda kumuona. Hospitali yenyewe aliyolazwa hatutaki itangazwe. Maisha ya Steven ni siri,” alisema mtoa habari wetu na kutoa siri hii:
“Wiki iliyopita pale hospitali alipolazwa, alitokea mtu fulani hivi Mwafrika. Muonekano wake ukawafanya watu wahisi ni Mtanzania. Watu wanaohusika na usalama wa Steven walikuwa makini sana.
“Kilichosababisha yule mtu aonekane ni Mtanzania ni fulana aliyovaa, kifuani ina ramani ya Tanzania. Watu wanaomlinda Steven wakaogopa sana, wakamfuatilia hatua kwa hatua bila mwenyewe kujua. Bahati nzuri naye alikuwa amekwenda kwa shughuli zake na akaondoka salama.
“Kwa kifupi, hali ilivyo pale hospitali ni kwamba ulinzi ni mkali, tena afadhali mtu awe wa taifa lingine, Watanzania ndiyo wanaogopwa zaidi, kwani huwezi kujua nani mzuri wa Steven na adui yake ni yupi.”
TATIZO LILIPOANZIA
Dk. Ulimboka, akiwa kwenye harakati za kuendeleza mgomo wa madaktari ili kuishiniza serikali iridhie madai yao, alitekwa kisha akavunjwa mbavu, miguu yote, kung’olewa meno yote ya mbele na kuumizwa vibaya katika sehemu mbalimbali za mwili.
Tukio hilo, linadaiwa kufanywa na watu wasiojulikana ambapo kabla ya kufanyiwa unyama huo walidaiwa kumteka na kumpiga kisha kumtelekeza katika eneo la Msitu wa Mabwepande, nje ya Jiji la Dar es Salaam.

GRAND MALT NA ZFA WATOA POLE KWA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR





Meneja Masoko wa Kinywaji cha Grand Malt, Fimbo Buttalah (kulia) akimkabidhi makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddy hundi ya shilingi milioni tano kama sehemu ya rambirambi zilizotolewa kwa pamoja kati ya Grand Malt ambao ni wadhamini wa Ligi kuu ya Zanzibar na Chama cha Soka Zanzibar ZFA. Kushoto ni Makamu wa rais wa ZFA Kassum Suleiman.
Meneja Masoko wa Kinywaji cha Grand Malt, Fimbo Buttalah (kulia) akimkabidhi makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddy Fedha Shilingi milioni tano kama sehemu ya rambirambi zilizotolewa kwa pamoja kati ya Grand Malt ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu ya Zanzibar na Chama cha Soka Zanzibar ZFA. 
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddy akizungumza katika hafla fupi ofisini kwake wakati akipokea fedha taslimu shilingi milioni tano toka Grand Malt na ZFA kwa ajili ya kuwafariji wale wote waliopatwa na maafa ya ajali ya meli hivi karibuni.
(Picha zote kwa hisani ya Intellectuals Communications Limited)

WADHAMINI wa Ligi Kuu ya Zanzibar, ambao ni kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt kwa kushirikiana na chama cha mpira wa miguu Zanzibar (ZFA), wametoa mkono wa pole kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 5, kwa ajili ya waathirika wa ajali ya boti ya MV Skagit, iliyotokea hivi karibuni.
Akikabidhi pole hiyo kwa Makamu wa Pili wa SMZ, Balozi Seif Idd, Meneja Masoko wa Grand Malt, Fimbo Butallah alisema wameguswa na tukio hilo na wameamua kuungana na Watanzania wote katika kipindi hiki kigumu.
“Tumeguswa na tukio hili na kama Grand Malt ambao tuko hapa Zanzibar kama wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya hapa, tumeamua kuungana nanyi katika kipindi hiki.
“Tunapenda kuwapa pole wote waliofiwa na wale wote waliokuwemo katika boti hiyo na kwa ujumla kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Watanzania wote kwa ujumla,” alisema.
Meneja wa Grand Malt, Consolata Adam naye alisema walishitushwa baada ya kupata taarifa ya ajali hiyo na kuamua kuungana na wengine katika kutoa pole yao.
Makamu wa rais wa chama cha mpira wa miguu zanzibar (ZFA) Ally Mohamed, Kassim Suleiman naye alisema walishitushwa pia na ajali hiyo, kwani wamepoteza watu ambao walikuwa mhimili mkubwa katika maendeleo ya mchezo huo visiwani.
Balozi Idd, aliwashukuru Grand Malt kwa pole yao na kusema atafikisha salamu zao kwa wahusika na kuitaka pia iendelee kuwa na moyo huo wa kusaidia pia michezo ndani ya Zanzibar.
Ajali ya MV Skagit ilitokea hivi karibuni katika eneo la Chumbe, Zanzibar na kupoteza maisha ya Watanzania kadhaa.

OPERATION ZUIA BODABODA ZISIZO SAJILIWA ZAENDELEA



OPARESHENI DHIDI YA ‘BODABODA’ ZENYE MAKOSA YAPAMBA MOTO MORO


Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mkoa wa Morogoro, Leonard Gyindo (kulia), akipokea maelezo kutoka kwa askari aliyepewa jukumu la kuandikisha pikipiki zilizokamatwa.
JESHI la polisi mkoa wa Morogoro leo limeanza zoezi la kukamata pikipiki 'bodaboda' zenye makosa mbalimbali yakiwemo ya madereva na abiria kutovaa kofia ngumu.
Akizungumza na mtandao huu, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro (RTO) Leonard Gyindo, amesema kabla ya kuanza kwa oparesheni hiyo walifanya mkutano na madereva na wamiliki wa bodaboda hizo.
Katika hali ya kuhakikisha wanafanikisha zoezi hilo, askari kanzu wamekuwa wakifanya kazi hiyo badala ya wale wa FFU wanaotumia pikipiki ambapo madereva wengi wa bodaboda wamejikuta wakikamatwa kirahisi.

Jul 30, 2012

KRIS JENNER A.K.A MAMA KARDASHIAN IN DOG HOUSE TODAY



Kris Jenner was in the dog house after meeting up with ex-flame Todd Waterman -- so to prove her love for husband Bruce Jenner, she did what any reality TV star would do: She took a polygraph.
Last night's episode of "Keeping Up with the Kardashians" started with Kris going out with Todd Waterman, the man she cheated on ex-husband Rob Kardashian with before their 1990 divorce, behind Bruce's back.
When Kris revealed she met up with Todd, Bruce was furious -- prompting Kourtney to devise the lie detector test plan.
When hooked up to the machine Jenner revealed some interesting tidbits -- saying which of her daughters is her favorite, confirming who Khloe's actual father is and, finally, her real feelings about Todd.
While Bruce wasn't too pleased with what he saw, the expert administering the test said any needle spike to the Waterman question was likely due to an emotional reaction to a past memory ... and not from a lie.
In case you were wondering: Bruce forgave Kris by the end of the episode

WOMEN MUST HAVE A PAIR OF THIS,,,,

DAMN THEY HOT,,,,

WALTER STEIGER SHOES,,,Uwiiii pay check yangu...


CHRISTIAN LOUBOUTIN....





Z.I.G.I Black Label




TAMASHA LA CHAGA DAY LAFANYIKA LEADERS CLUB

MAMIA YA WACHAGA WAKIJICHANA KWA NYAMA CHOMA NA MBEGE,,
Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam jana.
Masta wa tamasha la chagga day (katikati) Mkurugenzi wa Kampuni ya MyWayEntertainment, Paul Maganga pamoja na wadau wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Mdau akipata mbege.
Wadau wakifurahia utamu wa mbege.
Wadau mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu, ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio na vingine vingi.
Watu mbalimbali walioudhuria katika Chagga Day wakipata Nyama choma.

Vimwana wa bendi ya twanga wakionyesha umahiri wao wakiongozwa Luiza Mbutu wakati wa chagga day

11 YEARS GIRL SUFFERS AS "SEX SLAVE FOR THREE YEARS" IN TANZANIA.

An eleven year old girl has just been rescued from the life of sex slavery which she was forced to endure for over three years now in Arusha City.

The girl who was born and bred in Mto-wa-Mbu area of Monduli District, reportedly entered into forced co-habiting with one Mr Joseph Ngisha a 25-year-old resident of Sakina area in Arusha who has been keeping her in his room since 2010.

Senior Staff officer with the Arusha Regional Police, Commander Zuberi Mwombeji said Mr Ngisha, a trader who throughout that period has been posing as the girl's brother so as not to attract the attention of neighbors, is being held at the Central Police Station and will soon be taken to court to face the charges of rape.

"The girl is under 16 and had been held hostage in the suspect's room for over three years being sexually abused. This is not only against the law but also inhuman," said Commander Mwombeji.

Assistant Inspector of Police Ms Maria Maswa who led the ambush team consisting of female police officers and Municipal Welfare officers to rescue the innocent girl in 'matrimonial' captivity, revealed that they succeeded in their operation and took the child to hospital where after medical examinations the doctors found the victim to be three-months pregnant.

WANAWAKE ACHENI KUWA MAGOLIKIPA..

CHOMA MAHINDI, KAANGA KARANGA DO SOMETHING BASI,,,,



Kujituma ni jambo zuri sana miongoni mwa binadamu, wapo watu hii leo ambao hulalamika ugumu wa maisha ilihali hawafanyi shughuli yeyote ya kujiingizia kipato au kujipatia ridhiki.


Wanawake wengi katika miji mikubwa hapa nchini wamekuwa ni watu wa kukaa majumbani tu iwapo wamekosa kazi za kuajiriwa maofisini jambo ambalo linapelekea kupachikwa majina mbalimbali ikiwapo lile la UGOLI KIPA.


Kwanini uitwe Goli kipa huku zipo shughuli mbalimbali ambazo wewe zinaweza kukupatia kipato na ukaweza ama kuendesha maisha yako na kujiepusha na vitendo vibaya au hata kujipatia fedha ndogo ndogo za mahitaji yako binafsi.


Daima kushinda majumbani kwa wanawake wengi wasio penda kujiajiri na kujishughulisha na vitu vidogo vidogo kama kuuza karanga, kuchoma mahindi, vitumbua na maandazi, husababisha wanawake hawa kuwa na majungu na mambo mengi ya Umbea. 



Baadhi yao wanasema kujishughulisha kunawafanya kujiepusha na makundi yanayoendekeza umbea mitaani na kusengenyana, lakini pia kuisaidia familia na wao wenyewe kuepuka kuwa omba omba hata kwa mafuta ya kujipaka.


Pichani ni mwanamke mkazi wa Jijini Arusha akijishughulisha na uuzaji wa Karanga, biashara ambayo inamuingizia kipato japokuwa ni kidogo lakini anaweza kumudu maisha yake na kuongeza pato la familia wakati baba amekwenda katika shughuli nyingine.

Biashara ya uchomaji Mahindi ni biashara ambayo imeshamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi hususani jijini Dar es Salam na jijini Arusha. Hapa jijini Arusha asilimia kubwa ya wachoma mahindi ni wanawake.


Blog inachukua fursa hii kumtaka mwanamke yeyote ambaye ana uwezo wa kufanya kitu pale alipo na aanze sasa kufanya hivyo. Ipo dhana ya kusema Mwanamke akiwezeshwa anaweza lakini ukweli ni kuwa mwanamke akijituma anaweza hebu anza sasa na utaona matunda yake, na waala usitake mtaji wa kuanza duka la vipodozi au nguo kama jirani yako.

Jul 29, 2012

SHOCKING NEWS ABOUT HEPATITIS B SPREAD..

YOU MUST WATCH THIS..

Hepatitis C 'Serial Infector' Could Have Spread Disease to Thousands,,

The New Hampshire hospital lab technician indicted last week for infecting 31 people with Hepatitis C might have infected "tens of thousands" of patients in at least 13 hospitals, ABC News has learned.

David Kwiatkowski, a former lab technician at Exeter Hospital in New Hampshire, had allegedly been stealing the Fentanyl syringes intended for patients, injecting his own arm and then refilling those empty syringes with another liquid-like saline, according to a statement from the United States Attorney's Office in New Hampshire.

Since Kwiatkowski tested positive for Hepatitis C in June 2010, he passed it on to the hospital patients who were injected with his used, saline-filled syringes, according to the affidavit.

"If he knew that he was infected and he put those needles back on the shelf, that is the definition of evil," Dr. Richard Besser, ABC News' Chief Health and Medical Editor, told Good Morning America. "Anyone who was in those hospitals when he was working there is potentially at risk. We're talking tens of thousands of people."

Kwiatskowski, 32, was a temporary employee at Exeter Hospital who has worked in at least eight hospitals in 13 states, Besser said.

Exeter Hospital issued a press release this week, indicating that the state department of Health And Human Services and its Division of Public Health Services have decided to expand Hepatitis C testing to anyone who was a patient in one of the hospital operating rooms or the intensive care unit. Government health officials are urging about 6,000 patients to get tested in Exeter Hospital alone, according to the release.

THE MOST BEAUTIFUL CAR OF 2012..

Jaguar F-Type 2014 Model,,,


Zenvo ST1


Ferrari 458 Spider,,



Mercedes Benz SLS,,,


Lamborghini Aventador,,,

DUBAI TO BUILD ROMANTIC HOTEL UNDER THE SEA..

OUTSIDE VIEW


INSIDE VIEW

UNDERWATER VIEW

CONFERENCE ROOM

BEDROOM

BEDROOM VIEW

OUTSIDE BAR


WEEKEND IS ALL ABOUT HAVING FUN.